Tina Turner, muimbaji machachari na kwenye jukwaa aliyeshirikiana na mumewe Ike Turner katika vibao kadhaa vilivunja rekodi na maonyesho katika miaka ya 1960 na 70, aliweza kuvumilia kuishi katika ndoa iliyokuwa na madhila na kuibuka kidedea alipofikia umri wa kati na kibao chake kilichovuma Zaidi “What’s Love Got to Do With It,”
- Category
- Tina Turner
Commenting disabled.